DEVAN:   Proposal, Marketing, Communications & Events Management Services

#TWICF

blank

Tanzania Women in Communication Forum 2026 yazindua historia mpya ya wanawake katika Tasnia ya Mawasiliano Tanzania

Katika zama ambazo simulizi zina uwezo wa kubadili mwelekeo wa taifa, Tanzania imeandika ukurasa mpya kupitia kufanyika kwa Tanzania Women in Communication Forum 2026; jukwaa la kihistoria lililowakutanisha wataalamu, wadau na viongozi wa mawasiliano kujadili nafasi ya mawasiliano ya kimkakati katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kwa kaulimbiu yake “Give to Gain: Elevating […]
Read more
blank

Hotuba ya Mgeni Rasmi Mh. Dkt. Blandina Kilama wakati wa ufunguzi wa Tanzania Women in Communication Forum

Hotuba ya Mgeni Rasmi Mh. Dkt. Blandina Kilama, Naibu Katibu Mtendaji, Biashara na Ubunifu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji; Tanzania Women in Communication Forum. Click here to download==> 20260314 CHIEF GUEST SPEECH 1st Women In Communication Forum BY DR BLANDINA Hotuba ya ufunguzi Click here to download==> HOTUBA YA UFUNGUZI – TANZANIA WOMEN IN […]
Read more