Tanzania Women in Communication Forum 2026 yazindua historia mpya ya wanawake katika Tasnia ya Mawasiliano Tanzania
Katika zama ambazo simulizi zina uwezo wa kubadili mwelekeo wa taifa, Tanzania imeandika ukurasa mpya kupitia kufanyika kwa Tanzania Women in Communication Forum 2026; jukwaa la kihistoria lililowakutanisha wataalamu, wadau na viongozi wa mawasiliano kujadili nafasi ya mawasiliano ya kimkakati katika kufanikisha Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kwa kaulimbiu yake “Give to Gain: Elevating […]

